Yaliyomo
Search


Advanced Search
 

Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."

 »  Home  »  Kutoka Magazetini
Kutoka Magazetini
(Page 1 of 2)   « Back | 1 | 2 | Next »
» Kikwete aahidi kuongeza mawaziri wanawake
By Mike Mushi | Published 08/27/2005 | Kutoka Magazetini |
Mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Bw Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza idadi ya Mawaziri wanawake katika Serikali yake ikiwa atachaguliwa kushika wadhifa huo.
» Kikwete ahimiza vijana kusoma kukabili ushindani soko la ajira
By Mike Mushi | Published 08/14/2005 | Kutoka Magazetini |
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Jakaya Kikwete, amewataka vijana nchini kusoma zaidi ili kukabiliana na ushindani katika soko la ajira.
» Kikwete, Shein wala kiapo mbele ya Jaji
By Mike Mushi | Published 08/13/2005 | Kutoka Magazetini |
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CCM Bw. Jakaya Mrisho Kikwete, na mgombea mwenza wake, Dk. Mohamed Shein, walimaliza kazi za kujaza fomu za kugombea na kula kiapo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
» Kikwete aonya mashabiki wake
By Mike Mushi | Published 06/23/2005 | Kutoka Magazetini |
Kikwete aonya mashabiki wake
» Uchaguzi wa mwaka huu mgumu-Kikwete
By Mike Mushi | Published 05/19/2005 | Kutoka Magazetini |
MGOMBEA Urais wa Jamuhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, ametoa changamoto kwa vijana wa chama hicho kutoweteka wakidhani kwamba kutakuwa na ushindi wa chee katika Uchaguzi Mkuu ujao. Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akizungumza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM jijini Dar es Salaam jana.


(Page 1 of 2)   « Back | 1 | 2 | Next »
Popular Articles
  1. BARAZA LA MAWAZIRI
  2. Kikwete Katika Kampeni Mtwara Leo
  3. Jakaya Kikwete: Muasisi wa kasi, nguvu na ari mpya
  4. Kikwete katika kampeni Lindi
  5. Nawataka maprofesa hawa, nipeni, nitawatumia
No popular articles found.
Popular Authors
  1. Mike Mushi
  2. Epson Luhwago
  3. charles nzo
  4. Eliakim T. Mwakyanjala
  5. mussa juma
No popular authors found.
 

www.ccmtz.org

Click hapa kuipa kura yako ya ndio kwa CCM.