Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu
Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."
A High School graduate of Sangu Eliakim Mwakyanjala is now pursuing his degree in Business Management and Mental Health at College in Atlanta Georgia in the United States.
Among his hobbies are Reading Poetry Music and Community service.
Kikwete amekuwa na mvuto wa pekee kwa wananchi wa Tanzania. Sababu kubwa ya mvuto huo ni hamu ya Watanzania kuwa na kiongozi ambaye anawapa matumaini. Huu ni mzigo mzito kwa mtu mmoja kuubeba.