| |
|

Aika Swai, New York, USA
"Sisi tunaoishi nje tunawaomba kina baba na mama, kaka na dada mumpe kura zenu
Kikwete na Karume. Maisha bora kwa kila mtanzania."


|
|
Articles by this Author
»
Kikwete aongoza maoni Tanzania
|
Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameongoza kura za maoni ya wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC katika kuwania tikiti ya CCM kwenye uchaguzi wa rais nchini humo. Kikwete ambaye alianza kwa kasi ndogo, alimaliza fainali akiwa na kura 3161 ambazo ni sawa na asilimia 48.2.
|
»
Sitarudisha nyumba za serikali – Kikwete
Siku mbili tu baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),Waziri wa Mmambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Jakaya Kikwete, ameanika wazi msimamo wake kuhusu uuzaji wa nyumba za serikali.
|
»
Nitaongeza ajira Kikwete
|
Aomba achaguliwe atoe ajira kwa vijana na kuinua wanyonge " Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Bw, Jakaya Mrisho Kikwete amewaomba vijana kujitokeza kwa wingi siku ya Uchaguzi Mkuu na kumpigia kura za ndio, ili afanye kazi ya kuwapatia ajira na kuinua hali za wanyonge.
|
»
Kikwete: Apokewa kifalme Zanzibar
|
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Bwana Jakaya Mrisho Kikwete , mgombea mwenza wake pamoja na mgombea wa Zanzibar, wamepewa mapokezi ya kifalme mjini hapa, mapokezi ambayo yalisababisha shughuli kibao kusimama.
|
»
Uchaguzi wa mwaka huu mgumu-Kikwete
MGOMBEA Urais wa Jamuhuri ya Muungano kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, ametoa changamoto kwa vijana wa chama hicho kutoweteka wakidhani kwamba kutakuwa na ushindi wa chee katika Uchaguzi Mkuu ujao. Kikwete alitoa kauli hiyo wakati akizungumza katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM jijini Dar es Salaam jana.
|
»
Kikwete aonya mashabiki wake
|
Kikwete aonya mashabiki wake
|
»
IMANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI
|
1. Binadamu wote ni Sawa 2. Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake 3. Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na
|
»
Kikwete, Shein wala kiapo mbele ya Jaji
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CCM Bw. Jakaya Mrisho Kikwete, na mgombea mwenza wake, Dk. Mohamed Shein, walimaliza kazi za kujaza fomu za kugombea na kula kiapo katika Mahakama Kuu ya Tanzania.
|
»
Mwalimu Julius Nyerere Biography
|
Mwalimu Julius K. Nyerere, the late Chairman of the South Centre, was born in Butiama Village near Lake Victoria and walked 26 miles to begin primary school in Musoma at the age of 12. He obtained his secondary education at the Tabora Government Secondary School and was offered a scholarship to study at Makerere University in Uganda where he obtained a Teacher's Diploma. He also obtained a Master of Arts degree from the University of Edinburgh in 1952. He taught at Tanzanian schools before he was forced by the colonial authorities to either continue teaching or give up his political activities. Mwalimu went on to become President of the Republic of Tanzania in the period 1964-1985. He was the founder member and first (and only, as he was constantly re-elected) President of the Tanganyika African National Union (TANU). As President of TANU he campaigned throughout the country for independence from colonial rule. He spoke on behalf of TANU to the Trusteeship Council and Fourth Committee of the United Nations in New York in 1954. Mwalimu was elected in 1958 as a Member of the Legislative Assembly in the first elections in which the black population had a vote. He subsequently became the Leader of the Opposition in Parliament. In 1960 he became the Chief Minister of the first Internal Government Administration of Independent Tanganyika. He was Prime Minister of the first Government of Independent Tanganyika in 1961 and was elected Tanganyika's first President when it became a Republic in 1962. He became President of the United Republic when Tanganyika and Zanzibar were united in 1964. Mwalimu was the founder member and Chairman of Chama Cha Mapinduzi, which was formed by a merger of TANU and the Afro-Shiraz Party of Zanzibar, from 1977-1989. He served as the Chairman of the South Commission from 1987 to 1990, an independent international organization set up to review development experience and make recommendations on development strategy for developing countries. He served as honorary Chairman of the Intergovernmental South Centre based in Geneva while continuing to live in Tanzania) which is the successor organization promoting South-South co-operation and solidarity. He was also Chairman of the Mwalimu Nyerere Foundation. Mwalimu held numerous honorary degrees from: Edinburgh (UK), Duquesne (USA), Cairo, Nsukka (Nigeria), Ibadan, Monrovia, Toronto, Howard, Jawaharlal Nehru, Havana, Lesotho, the Philippines, and Fort Hare University in South Africa. He was Chancellor of the University of East Africa (1963-1970), Chancellor of University of Dar-es-Salaam (1970-1985) and Chancellor of Sokoine University of Agriculture (1984). He also received numerous awards including the Nehru Award for International Understanding, the Third World Prize, Nansen Medal for Outstanding Service to Refugees and the Lenin Peace Prize. His publications include Freedom and Unity (1966), Freedom and Socialism (1968), Freedom and Development (1973), Ujamaa (1968), Julius Kaisari- a translation of Julius Caesar into KiSwahili and Mabepari wa Venisi (a translation of Merchant of Venice into KiSwahili).
|
»
Benjamin William Mkapa
|
Benjamin William Mkapa (born November 12, 1938) is the president of the United Republic of Tanzania (since 1995), for the Revolutionary State Party. His second 5-year term of office ends in October 2005. Previous posts include being the administrative officer in Dodoma and the Minister for Science, Technology and Higher Education. Also led the Tanzania mission to the USA. He was also the Foreign affairs Minister for six years. During his term Mkapa continued the liberalization of the economy that began under his predecessor Ali Hassan Mwinyi. He privatized most of the state owned corporations and pursued free market policies designed to attract foreign investment. Critics of Mkapa's policies felt that he went too far in allowing foreign companies control over the economy. They further claimed that his policies failed to improve the economic condition of the average Tanzanian. His supporters argued that attracting foreign investment was the only way to achieve economic growth. His policies won the support of the World Bank and IMF and resulted in the cancellation of some of Tanzania's foreign debts.
|
»
Ali Hassan Mwinyi
|
Ali Hassan Mwinyi (born May 8, 1925, on the island of Zanzibar) was the president of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Even though Mwinyi's free-market policies had some success, he was widely criticized for the high degree of corruption and wide-spread tax evasion that flourished during his term. In retirement, Mwinyi has stayed out of the limelight and continues to live in Dar es Salaam. Many argue that during Mwinyi's tenure the country did not have a proper and disciplined money policy. Hence inflation was rampant and people were deceived by the overflow of money whose value was deteriorating day by day.
|
»
Kikwete ahimiza vijana kusoma kukabili ushindani soko la ajira
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Jakaya Kikwete, amewataka vijana nchini kusoma zaidi ili kukabiliana na ushindani katika soko la ajira.
|
»
Kikwete atikisa ngombe ya CUF.
|
Hapana shaka kwamba nguvu za kisiasa za Jakaya kikwete ni kubwa, jana zilivuka bahari za kutikisa visiwa vya zanzibar ambako ni ngombe kuu ya Chama cha Wananchi (CUF)
|
»
Mjue Jakaya Mrisho Kikwete
|
Mjue Jakaya Mrisho Kikwete Alizaliwa Oktoba 7, mwaka 1950 katika kijiji cha Msoga Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Elimu. 1958-1961 - Shule ya Msingi Msoga 1962-1965 - Shule ya Msingi ya Kati ya Lugoba 1966-1969 - Shule Sekondari Kibaha 1970-1971 - Shule ya Sekondari Tanga 1972-1975 - Chuo Kiku cha Dar es Salaam, Shahada ya kwanza ya Uchumi 1976-1977 - Mafunzo ya Afisa wa Jeshi - Mafunzo ya Uongozi wa Jeshi Monduli 1983-1984 - Mafunzo ya Makamanda wa Jeshi Nafasi alizowahi kushika 1975-1977 - Katibu msaidizi wa TANU wa Mkoa 1977-1980 - Katibu Msaidizi wa CCM, Kisiwani Zanzibar 1980-1981 - Afisa Utumishi wa CCM makao makuu 1981-1983 - Katibu wa CCM Mkoa Tabora 1983-1986 - Mkufunzi wa Siasa katika Chuo cha uongozi wa Jeshi Monduli 1986-1988 - Katibu wa CCM Wilaya ya Nachingwea na baadaye Masasi 1988-1990 - Naibu Waziri wa Nishati na Madini 1990-1994 - Waziri wa Nishati, Madini na Maendeleo ya Maji 1994-1995 - Waziri wa Fedha 1995- Hadi sasa - Mbunge wa Chalinze 1995-2000 - Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa 2000-2005 - Aliteuliwa tena kuuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Wadhifa ambao anaushikilia mpaka sasa.
|
»
Jarida Pepe
»
KikweteShein.com
»
29 octoba 1995 Uchaguzi wa Rais
|
| Mgombea | | Chama | Wapigakura | Asilimia | | 1:Benjamin W.Mkapa | | CCM | 4,026,422 | 61.82% | | 2:Augustine L.Mrema | | NCCR-Mageuzi | 1,808,616 | 27.77% | | 3:Ibrahim H:Lipumba | | CUF | 418,973 | 6.43% | | 4:John M.Cheyo | | UDP | 258,734 | 3.97% | | | | | | | Idadi ya viti vya Ubunge 232 (269)* | | | Chama | Wapigakura | Asilimia | Viti | Jumla | | 1:CCM | 3,814,125 | 59.22% | 186 | 214 | | 2:NCCR-Mageuzi | 1,406,343 | 21.83% | 16 | 19 | | 3:CHADEMA | 396,825 | 16% | 3 | 4 | | 4:CUF | 323,432 | 5.02% | 24 | 28 | | 5:UDP | 213,481 | 3.31% | 3 | 4 | | Vyama vingine | 286,708 | 4.45% | | | | | | | | | Idadi ya wapigakura waliojitokeza | 6,512,745 | 76.70% | |
|
»
29 octoba 2000 Uchaguzi wa Rais
|
| Mgombea | Chama | Wapigakura | Asilimia | | 1:Benjamin W.Mkapa | CCM | 5,863,201 | 71.74% | | 2:Ibrahim H.Lipumba | CUF | 1,329,077 | 16.26% | | 3:Augustine L.Mrema | TLP | 637,115 | 7.80% | | 4:John M.Cheyo | UDP | 3,428,914 | 2.00% | | Walipiga kura: | | | 72.80% | | | | | | Idadi ya viti vya ubunge (269)* | | Chama | Wabunge | | | | 1:CCM | 244 | | | | 2:CUF | 15 | | | | 3:CHADEMA | 4 | | | | 4:TLP | 3 | | | | 5:UDP | 2 | | | | | | | | Wapigakura: | 84.40% | | | | Jumla ya kura: | 8,172,284 | | | | | | | | *Idadi hii haihusishi wabunge wa Zanzibar ambako CCM na CUF tu walikuwa na uwakilishi |
|
»
Wabunge watarajiwa wa CCM Mkoa wa Arusha
| JIMBO | MGOMBEA | | | | | Wilaya ya Arumeru | | | Arumeru Magharibi | Elisa David MOLLEL | | Arumeru Mashariki | Jeremiah Solomon SUMARI | | WIlaya ya Monduli | | | Monduli | Edward Ngoyai LOWASSA | | Longido | Michael Lekule LAIZER | | Wilaya ya Karatu | | | Karatu | Patrick Luciano TSERE. | | Wilaya ya Arusha | | | Arusha | Felix Christopher MREMA | | Wilaya ya Ngorongoro | | | Ngorongoro | Saning'o Kaikai TELELE |
|
»
Wabunge Watarajiwa wa CCM Dar es Salaam
|
| Jimbo | Mgombea | | Wilaya ya Temeke | | | Temeke | Abbas Z. MTEMVU | | Kigamboni | Msomi A. MWINCHUMU | | Wilaya ya Kinondoni | | | Kawe | Ritha Louise MLAKI | | Kinondoni | Idd Mohamed AZZAN | | Ubungo | Charles N. KEENJA | | Wilaya ya Ilala | | | Ilala | Mussa Hussein AZZAN (zungu) | | Ukonga | Dr.Milton Makongoro MAHANGA |
|
»
Wabunge Watarajiwa wa CCM Dodoma
| Jimbo | Mgombea | | Wilaya ya Dodoma Mjini | | | Dodoma Mjini | Ephraim Nehemia MADEJE | | Wilaya ya Dodoma Vijijini | | | Bahi | William Jonathan KUSILA | | Chilonwa | Ezekiah Ndahani CHIBULUNJE | | Mtera | John Samwel MALECELA | | Wilaya ya Kondoa | | | Kondoa Kaskazini | Zabein Muhaji MHITA | | Kondoa Kusini | Pascal Constantine DEGERA | | Wilaya ya Kongwa | | | Kongwa | | |
|